China imerusha roketi ambayo inawabeba wana anga wawili ambao wataenda kwenye kituo chake cha anga za juu kinachozunguka kwenye mzingo wa dunia. Wana anga hao waliondoka kutoka chumba cha kurushia ...
Mabaki ya roketi ya China yanatarajiwa kuanguka na kulipuka duniani bila kudhibitiwa kwa namna yeyote wikendi hii. Bado haijafahamika ni wapi au lini hasa mabaki hayo ya roketi yatalipuka. Roketi hiyo ...